Taarifa zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa mtu mmoja (Pichani) ambaye bado hajafahamika mara moja amekutwa amekufa maji Coco-Beach......
Tunaendelea kufuatilia undani wa habari hii......
Imetolewa na Thimothy Shao Koko
No comments:
Post a Comment