Thursday, April 25, 2013

KITU CHALIIIIIIIIIII!!!!!!!!

Gari la mkaa likiwa limepiga Mweleka kando kidogo ya Daraja la Mto Ruvu, kwa mujibu wa watu waliokuwemo kwenye gari hilo wamesema kuwa Gari hilo lilishindwa kupanda mlima na kupelekea kupinduka,, hakuna aliyepoteza maisha wala aliyejeruhiwa.

No comments:

Post a Comment