KESI YA UCHOCHEZI INAYOMUANDAMA MBUNGE WA ARUSHA MJINI IMESOMWA LEO BAADA YA LEMA KUFIKISHWA MAHAKAMANI JIJINI ARUSHA, AMBAPO LEMA AMESHITAKIWA KWA KOSA LA UCHOCHEZI WA WANAFUNZI WA CHUO CHA UHASIBU JIJINI ARUSHA NA KUMZOMEA MKUU WA WILAYA, LAKINI MTUHUMIWA AMEKANA KOSA NA AKA ACHIWA KWA DHAMANA NA KESI IMEAHIRISHWA MPAKA 29 MAY
PICHA: Ndugu Godbless Lema akiwa mahakamani na akiwa anatoka Mahakamani
No comments:
Post a Comment