Thursday, March 28, 2013

WABUNGE VIJANA WA TANZANIA WALIWAKILISHA BUNGE LA TANZANIA KWENYE KONGAMANO LA WABUNGE VIJANA WA AFRIKA, NCHINI INDIA

Mhe. Dkt Faustine Ndugulile Mbunge jimbo la Kigamboni(katikati) na Wabunge toka Mali na Ethiopia wakiwa nchini India Mh, Ndugulile akiliwakilisha Bunge la Tanzania kwenye kongamano la Wabunge vijana toka Bara la Afrika lililoandaliwa na Serikali ya India. Wabunge wengine toka Tanzania ni Mhe. Namelok Sokoine(MB) na Mhe. Saidi Mussa Zuberi (MB). Jumla ya nchi 19 za Bara la Afrika zinashiriki kwenye kongamano hili lililoanza tarehe 16.03.2013.
Pichani,

Dr Faustine Ndugulile

No comments:

Post a Comment