Thursday, March 21, 2013

TTCL YAZINDUA HUDUMA KWA WATEJA

 Ofisa Masoko Mkuu na Mauzo wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota akizungumza wakati  wa uzinduzi wa Kituo cha Huduma kwa Wateja katika eneo la Kamata jijini Dar es Salaam, leo. Kushoto ni Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa. (Picha na Habari Mseto Blog)
 Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akizindua Kituo cha Huduma kwa Wateja cha Kampuni ya TTCL leo. Kushoto ni Ofisa Masoko Mkuu na Mauzo wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Peter Ngota.

No comments:

Post a Comment