Wednesday, March 6, 2013

NSSF YABISHA HODI KIGOMA VIJIJINI


 Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akiwasili katika Kijiji cha Matyazo wakati wa uzinduzi wa kujiandikisha uanachama wa NSSF wa Hiari kwa wakulima wa Kahawa wa Ushirika wa RUMAKO Kigoma Vijijini. 
 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Kigoma Vijijini, Hamis Betese akizungumza wakati wa uzinduzi wa kujiandikisha uanachama wa NSSF wa Hiari kwa wakulima wa Kahawa wa Ushirika wa RUMAKO Kigoma Vijijini. 
Baadhi ya wanakijiji cha Matyazo pamoja na vijiji vya jirani wakiwa katika uzinduzi huo.
Kikundi cha ngoma za kitamaduni cha Changamoto kikitoa burudani.
 Mkurugenzi wa Uendeshaji wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Crescentius Magori akizungumza wakati wa uzinduzi wa kujiandikisha kwa hiari kwa wanachama wa NSSF, wakulima wa Kahawa wa Ushirika wa RUMAKO Kigoma Vijijini. Zaidi ya Wanachama 500 wameandishwa Uanachama wa Hiari wa NSSF katika Kata ya Kalinzi.
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Ramadhani Maneno akizungumza wakati wa Uzinduzi huo.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akizungumz wakati wa uzinduzi wa kujiandikisha uanachama wa NSSF wa Hiari kwa wakulima wa Kahawa wa Ushirika wa RUMAKO Kigoma Vijijini. 
Wanakijiji wakiwa katika hafla hiyo.
Baadhi ya wakazi wa vijiji vya Matyazo, Rusaba na Makabogo wakiwa katika hafla hiyo.
Meneja Mipango na Uwekezaji wa NSSF, Mseli Abdalah akiongoza hafla hiyo.
Meneja wa NSSF Mkoa wa Kigoma, James Mashinga akizungumza wakati wa uzinduzi.
Kikundi cha Ngoma cha Changamoto kikitoa burudani.Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akimkabidhi kadi ya Uanachama wa hiari wa NSSF mkulima wa Kahawa wa Ushirika wa RUMAKO, Mary Wilfred wakati wa hala iliyofanyika Kogoma Vijijini.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga akimkabidhi kadi ya Uanachama wa hiari wa NSSF mkulima wa Kahawa wa Ushirika wa RUMAKO, Meckrinda Enock wakati wa hala iliyofanyika Kogoma Vijijini.
Meneja wa NSSF Mkoa wa Kigoma, James Mashinga akipokea zawadi ya Kahawa kutoka kwa Mwenyekiti wa Ushirika wa RUMAKO, Omari Mahwisa.
Naibu Waziri wa Kazi na Ajira, Dk. Makongoro Mahanga  akipokea zawadi ya Kahawa kutoka kwa Mwenyekiti wa Ushirika wa RUMAKO, Omari Mahwisa
Mwenyekiti wa Ushirika wa RUMAKO, Omari Mahwisa akizungumza wakati wa hafla hiyo.
Meneja Kiongozi, Uhusiano wa NSSF, Eunice Chiume akifurahia zawadi ya Kahawa mara baada ya kukabidhiwa na Mwenyekiti wa Ushirika wa RUMAKO, Omari Mahwis

No comments:

Post a Comment