Saturday, March 23, 2013

MWENYEKITI WA SIMBA ISMAIL ADEN RAGE AWASILI KWA KISHINDO DAR, AZUNGUMZA NA WANACHAMA MAKAO MAKUU YA KLABU HIYO


 Mwenyekiti wa klabu ya Simba, Ismail Aden Rage, akizungumza na wanachama  na mashabiki timu hiyo, ambao walifika Makao Makuu ya klabu hiyo, Msimbazi jijini Dar es Salaam, mara baada ya Rage kuwasili leo akitokea nchini India kwa matibabu. (Picha na Francis Dande)
 Mashabiki na wachama wa Simba wakilisukuma gari alilopanda Mwenyekiti wa Simba, Ismail Aden Rage wakati alipowasili Makao Makuu ya klabu hiyo leo akitokea India kwa matibabu.. 
Karibu Mwenyekiti wetu.

No comments:

Post a Comment