Wednesday, March 6, 2013

KIBANDA KUSAFIRISHWA AFRIKA YA KUSINI KWA MATIBABU ZAIDI

Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Limited, Hussein Bashe akizungumza na waandishi wa habari katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam, kitengo cha Mifupa (MOI) alikolazwa kuhusiana na mipango ya kusafirishwa kwa Mhariri Mtendaji Mkuu wa Kampuni hiyo, Absalom Kibanda nchini Afrika Kusini kwa matibabu zaidi baada ya kuvamiwa na watu wasiojulikana nje ya  nyumba yake wakati akitoka kazini usiku wa kuamkia leo na kuumizwa katika sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwa ni pamoja na kumtoboa jicho. (Picha na Habari Mseto Blog)

No comments:

Post a Comment