Tuesday, February 26, 2013

HALI HALISI YA BIASHARA STAND KUU UBUNGO

 Baada ya kupita Boa Boa ya vibanda mbalimbali vya Biashara vilivyokuwa vimetapakaa na kujaza sehemu kubwa ya Stand Kuu ya Mabasi Ubungo (UBT) hali hivi sasa ndio kama inavyoonekana pichani.

 Wafanya biashara wa maji, Juicena Vitu mbalimbali bado wapo na hivi sasa ni kwa staili ya Myavuli huku wakiwa wamepanga bidahaa zao katika vimeza na mbao.

Aidha bomoa boamoa hiyo pia imeathiria abiria ambao baadhi walikuwa wakitumia vibanda hivyo vya wafanya biashara kujisitiri kwa Juan a mvua wakati ama wakisubiri usafiri au kusubiri wageni wao kutoka mikoani.

Father Kidevu Blog, imetembelea kituo hicho na kujionea hali halisi kama inavyoonekana katika picha hizi.
Hii ndio hali halisi ya Kituo cha Mabasi yaendayo Mikoani  Ubungo jijini Dar es Salaam kilivyo kwa sasa. 
 
 
Kwa hisani ya father kidevu blog

No comments:

Post a Comment