Wednesday, February 27, 2013

DR.MARY MWANJELWA MBUNGE WA VITI MAALUM MKOA WA MBEYA AMBAYE PIA NI M-NEC TAIFA AZINDUA ALBAMU YA VIDEO NA AUDIO YA UPENDO MWANTIMWA NA KUMCHANGIA KIASI CHA SHILINGI MILIONI MOJA KWA AJILI YA KUNUNULIA VYOMBO VYA MUZIKI

DK MARY MWANJELWA MARA BAADA YA UZINDUZI WA ALBAMU YA YESU YUAJA AKIONYESHA DVD HIYO KWA WAALIKWA WENGINE KUJA KUMCHANGIA UPENDO MWANTIMWA ILI APATE HELA YA KUNUNULIA VYOMBO VYA MUZIKI KWA AJILI YA KUENEZA NENO LA MUNGU VYOMBO HIVYO VINAGHARIMU KIASI CHA SHILINGI MILIONI 10 MWESHIMIWA DK MARY MWANJELWA AMEMCHANGIA UPENDO KIASI CHA MILIONI MOJA NA AMEAHIDI KUENDELEA KUMCHANGIA 
DK MARY MWANJELWA AKIMKABIDHI UPENDO MWANTIMWA  SHILINGI MILIONI 1 KAMA MCHANGO WAKE WA KWA AJILI YA KUNUNULIA VYOMBO VYA MUZIKI
UPENDO NA DK MARY MWANJELWA WAKIIMBA KWA PAMOJA KUMTUKUZA MUNGU KATIKA UZINDUZI WA ALBAMU YA YUAJA YESU
PICHA NA MBEYA YETU

No comments:

Post a Comment