Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba
Jaji Joseph Warioba akifafanua jambo kuhusu mfumo wa uchambuzi wa maoni ya
wananchi kwa viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) waliofika katika ofisi za
Tume kuwasilisha maoni ya chama hicho kuhusu Katiba Mpya leo. Viongozi hao pia
walipata fursa ya kutembelea Kitengo cha Taarifa Rasmi (Hansard) na Kitengo cha
Utafiti. Kulia kwa Mwenyekiti ni Katibu wa Tume Assaa Rashid na kushoto ni
Mwenyekiti wa CUF Prof. Lipumba.
|
No comments:
Post a Comment