Saturday, January 5, 2013

NIPO KAZINI JAPO SINA SARE YA KAZI

Mjasiriamali akisonga Ugali kwa ajili ya wateja wake kama alivyo kutwa na Kamera ya MAASINDA maeneo ya Ubungo jijini Dar es Salaam, mbali na kuuza Chakula mama huyo pia anauza Vocha za aina Mbalimbali ili apate fedha za kujikimu.

No comments:

Post a Comment