Sunday, January 6, 2013

Dk. Shein azindua Mradi wa e-Govement,Mazizini Unguja

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi

wa Mradi wa e-Govement,ni Mradi wa Mkongo wa Mawasiliano ya Serikali

ya Mapinduzi ya Zanzibar, ambao ni utumiaji wa Teknohama katika

shuhuli za kiserikali pamoja nautoaji wa huduma kwa Wananchi au

Taasisi ili kuleta ufanisi,wepesi pamoja na uwazi,uzinduzi huo

umefanyika huko Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ramadhan

Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na Balozi wa China nchini

Tanzania Lou Younging, wakikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa Mradi

wa e-Govement,ni Mradi wa Mkongo wa Mawasiliano ya Serikali ya

Mapinduzi ya Zanzibar, ambao ni utumiaji wa Teknohama katika shuhuli

za kiserikali pamoja nautoaji wa huduma kwa Wananchi au Taasisi ili

kuleta ufanisi,wepesi pamoja na uwazi,uzinduzi huo umefanyika huko

Mazizini Nje ya Mji wa Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

No comments:

Post a Comment