
Mapinduzi Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Mwenyekiti wa
Tume ya Uchaguzi Zanzibar,(ZEC) Khatib Mwinyichande,akiongoza ujumbe
wa Tume hiyo walipofika Ikulu Mjini Zanzibar,Kumuaga Rais kwa kumaliza
muda wa kazi wa Tume hiyo jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Zanzibar,Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Ripoti ya Tume ya Uchaguzi
Zanzibar,(ZEC) kutoka kwa Mwenyekiti wake Khatib
Mwinyichande,alipoongoza ujumbe wa Tume hiyo walipofika Ikulu Mjini
Zanzibar,Kumuaga Rais kwa kumaliza muda wa kazi wa Tume hiyo
jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
No comments:
Post a Comment