TASWIRA ZA MDAU MWANAKOMBO JUMAA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 51 YA UHURU WA TANZANIA BARA
Kikosi
cha Jeshi la Kutuliza ghasia FFU kikipita kwa ukakamavu wakati kikitoa
heshima zake kwa Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete hayupo pichani
katika sherehe za maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru wa Tanzania Bara
kwenye uwanja wa Uhuru Oktoba 9 jumapili iliyopita . Rais Kikwete
alikagua gwaride la maadhimisho hayo lililoundwa na askari kutoka
majeshi ya ulinzi na usalama lilionyesha umahiri mkubwa wa ukakamavu.
(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)
Kikundi
cha halaiki chenye watoto 2,625 kutoka Tanzania Bara na Visiwani
kikionesha sura mbalimbali ya kitabu, ugonjwa wa mapambano dhidi ya
malaria, nchi yangu Tanzania ,miaka 51 ya UHURU, Maliasili na Utalii..
(Picha na Mwanakombo Jumaa- MAELEZO)
Kikundi
cha ngoma cha Taifa kutoka Rwanda kikionyesha umahiri wake wakati wa
maadimisho ya miaka 51 ya Uhuru a Tanzania Bara jana katika Uwanja wa
UHURU jijini Dar es Salaam, ambapo Rais Kikwete aliwashukuru wasanii
hao kwa kuja Tanzania katika maadhimisho.(Picha na Mwanakombo
Jumaa-MAELEZO).
No comments:
Post a Comment