Naibu
Waziri wa katiba na sheria Mhe.Angellah Kairuki akisoma hotuba
wakati wa uzinduzi wa siku ya haki za binamu kwenye viwanja vya
mnazi mmoja jijini Dar es salaam leo (katikati)mwenyekiti wa tume
ya haki za binadamu Amiri Manento(kulia)Katibu mtendaji tume ya
haki za binadamu Bi. Meriy Massay.
(PICHA NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE)
No comments:
Post a Comment