MHADHIRI OUT AKABIDHI KWA KINANA VITABU VYA KITAALUMA VYA REJEA
Mhadhiri
wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (OUT), Dk. Hildebrand Shayo
akimkabidhi Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana nakala za kitabu
alichotunga cha mwongozo wa stadi za namna ya kunukuu maandiko
mbalimbali ya rejea kwa kazi za kitaaluma. Vitabu hivyo ambayo Kinana
naye alivikabidhi kwa Mweyekiti wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vikuu
Tanzania (TAHLISO) Paul Makonda, ni kwa ajili ya kusambazwa kwenye vyuo
mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yamefanyika leo, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam. (Picha na Bashir
Nkoromo)
Kinana
akimkabishi vitabu hivyo Mweyekiti wa Umoja wa Wanafunzi wa vyuo vikuu
Tanzania (TAHLISO) Paul Makonda, kwa ajili ya kusambazwa kwenye vyuo
mbalimbali nchini. Makabidhiano hayo yamefanyika leo, Ofisi Ndogo ya
Makao Makuu ya CCM, Lumumba mjini Dar es Salaam. (Picha na Bashir
Nkoromo)
Kinana
akiwa katika picha ya pamoja na mtunzi wa kitabu hicho cha ‘Biginner’s
Referencing Resorce Book’ Dk. Hildebrand Shayo na Mweyekiti wa Umoja wa
Wanafunzi wa vyuo vikuu Tanzania (TAHLISO) Paul Makonda, wakati wa
makabishiano ya nakala za kitabu hicho, katika Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo)
No comments:
Post a Comment