Friday, December 7, 2012

MAONESHO YA MITINDO KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA CHAKUWAMA KUFANYIKA SERENA HOTELI-8/12/2012

Balozi wa Uturuki nchini  Mh.  Ali Davutoglu na mkewe Bi. Yasim
Davutoglu wakiwagawia zawadi watoto wanaolelewa katika kituo cha CHAKUWAMA
Sinza jijini Dar es Salaam walipotembelea kituo hicho hapo jana.
Hapa akiongea na vyombo vya habari Balozi wa Uturuki nchini Mh.  Ali
Davutoglu kuhusu maonesho ya mitindo kwaajili ya kucangia ujenzi wa kituo

cha CHAKUWAMA yatakayofanyika Jumamosi trh 08/12/2012, Serena Hoteli

jijini Dar es Salaam. Katikati ni Bi Yasim(mke wa balozi wa uturuki) akiwa

amembeba mwanae anayemlea katika kituo hicho na kulia kwake ni Katibu wa

kituo cha CHAKUWAMA.
Watoto Wakiwa katika picha ya pamoja Balozi na mke wake pamoja na baadhi ya
watoto wanaolelewa katika kituo hicho ndani ya chumba wanacholala watoto

hao.
Haya ndiyo mazingira ya ndani katika vyumba wanapolala watoto wa kituo
cha CHAKUWAMA

No comments:

Post a Comment