|
Mgeni Rasmi akifungua cheti cha kuashiria utambulisho wa
Maabara hiyo.
|
|
Wakurugenzi wa TFDA wakiwa kwenye picha ya Pamoja na Mgeni
Rasmi ambaye ni waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii.
|
|
Wafanyakazi wa TFDA nao walipata fursa ya kupiga picha na
Mgeni Rasmi.
|
|
Baada ya Kumaliza kutoa Tamko Waziri wa Afa aliondoka hapo
katika makao makuu ya TFDA na kuacha sherehe ikiendelea.
|
No comments:
Post a Comment