Sunday, December 2, 2012

HIZI NDIZO MALI ZA SHARO MILIONEA ZILIZOKAMATWA NA JESHI LA POLICE.


Baadhi ya mali zilizokuwa za Marehemu msanii Sharo Millionea zikiwa katika kituo cha polisi baada ya kupatikana kutokana na Msako mkali uliofanywa na jeshi la Polisi


No comments:

Post a Comment