Wednesday, November 21, 2012

WAZIRI WA FEDHA APOKEA TAARIFA YA KAZI KUTOKA MAMLAKA YA UDHIBITI WA MANUNUZI YA UMMA

Kaimu Mwenyekiti wa Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi ya Umma Jaji Thomass Mihayo (kulia) akikabidhi taarifa ya utendaji ya mwaka 2011/2012 kwa Waziri wa Fedha na Uchumi Dk.William Mgimwa.

Waziri wa fedha na uchumi Dk.William Mgomwa akimpongeza mkurugenzi mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Manunuzi Umma Dk.Ramadhani Mlinga kwa uwasilishaji wa taarifa ya mwaka 2011/2012

No comments:

Post a Comment