Producer P-funk Majani ametoa studio teaser ya Lord Eyez kwa njia ya video, ikimuonesha Mweusi huyo akiwa booth katika studio za Bongo Recordz... ikimaanisha alikuwa katika recording session ya wimbo unaoonekana kuwa ni mpya na unaozungumzia matukio ya hivi karibuni yaliyomhusisha Lord Eyez .
Hii ni baadhi ya mistari inayosikika kwenye teaser hiyo:
“Mungu
mmbariki Ray C mmbariki na mama yake, mtoe kwenye haya majanga
mrudishie maisha yake....okay lete habari, Lord Eyez kafanya hivi na
hivi uzeni hiyo habari, eeh mungu nibariki niepukane na hii hali, too
many fake people, aaah wamecheka aaah naziona dimpoz, nini power windows
Napata nikiuza....F***the power window big boy is innocent, naingizwa
kwa majanga na sijala hata senti...........”
Itazame hapa Teaser hiyo

No comments:
Post a Comment