Friday, September 14, 2012

SERIKALI YAPEWA CHANGAMOTO

Bw, Bob Muchaba Iwa ambaye ni Senior programme manager of Sadec akiwa katika mkutano huo anasikiliza kwa makini

 Mkurugenzi wa TANGO akiwasilisha mada katika mkutano huo

SHIRIKA la Muungano wa Mashirika yasiyo ya kiserikali (TANGO),imeishauri serikali kuongeza  uwekezaji    katika huduma za jamii  nchini kuliko kuwekeza zaidi kwenye uchumi.Hayo yamesemwa leo jijini Dar es Salaam na Mkurugenzi Mtendaji wa Muungano wa mashirika yasiyo ya serikali (TANGO),Bw.Ngunga Tepani katika mkutano wa wadau wa kupinga umasikini (SADC Regional Poverty Observatory) yaliyofanyika katika Hoteli Ya Blue Pearl.

Baadhi ya waandishi waliokuwemo katika mkutano huo