Wednesday, August 8, 2012

DUKA LA BIDHAA ZA WATOTO MAARUFU KAMA BABY SHOP LAFUNGULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

Meneja mkuu wa Baby Shop lililopo Mlimani City jijini Dar es Salaam Bw, Malcon Schulz, akionyesha moja ya baadhi ya Bidhaa inayopatikana katiaka Duka hilo la Baby Shop lililofunguliwa leo Jijini Dar es Salaam






.Ile Ndoto iliyokuwa inaotwa na watoto ya kuhusu ni wapi watakapo jipatia vitu bora  na Maitaji bora ya Vitu vyote vya watoto.
Ndoto hii imetimia leo Katika ukumbi wa mlimani City Jijini Dar es Salaam baada ya kufunguliwa Duka kubwa la vifaa vya watoto maarufu kama Babyshop.Meneja mkuu wa mauzo Bw, Malcon Schulz amesema kuwa Duka hilo ambalo ni la kimataifa lilianzishwa  Mwaka 1973 na maduka hayo uyalikuwa katika nchi 14 na sasa limekuja Rasmi nchini Tanzania.
“Tunayofuraha  kufungua Duka letu ambalo litakuwa na mahitaji yote ya Watoto”amesema Schulz.
Hapa anaonyesha nguo za watoto zitakazokuwemo dukani hapo
Bidhaa zilizomo katika duka hilo ni pamoja na Nguo za kimataifa,Bidhaa za watoto, Matoi, Fanicha Bidhaa za usalama wa Nyumbani na vingine vingi.