Sunday, July 15, 2012

MOROGORO WAIBUKA MABINGWA COPA COCACOLA WAWALAZA MWANZA 1-0




Kapten wa Timu ya Umri chini ya miaka kumi na nane kutoka Morogoro  akipokea mfano wa Hundi ya kiasi cha shilingi milioni nane za Kitanzania baada ya kuibuka mabingwa wa michuano ya Copa cocacola katika fainali ya mchezo huo uliochezwa katika uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo Morogoro waliwachapa Mwanza kwa Bao moja kwa sifuri.
Kapteni wa Timu ya Morogoro akilifurahia kombe baada ya kukabidhiwa na Rais wa TFF  B w, Tenga aliyevalia shati jeupe, kulia ni Meneja mauzo wa Cocacola.