Tuesday, April 10, 2012

WATU ZAIDI YA 7000 WAJAA LEADERS KUMZIKA KANUMBA

MPAKA kufikia hivi sasa watu zaidi ya 7000 wamo katika viwanja vya leaders club kuaga mwili wa marehemu Kanumba aliyekuwa msanii wa filamu Tanzania.

Wapo pia viongozi mbalimbali wa serikali katika msiba huo.