Saturday, January 18, 2014

HUU NDIO UKWELI...HIKI KIJUMBA NDICHO ANACHOISHI MAMA WA RAISI WA MALAWI JOYCE BANDA...TUMUELEWE VIPI KIONGOZI HUYU?!!!

Rais wa Malawi alipomtembelea mama yake kijijini.. Tumjaji vipi huyu kiongozi ..!!
Ni mpumbavu kutopajenga kwao..? Au ni mtendaji kazi muaminifu kwa taifa lake..?? 

No comments:

Post a Comment