Mke wake H.Baba, Florah Mvungi akiwa ameshika keki ya bethidei.
H.Baba akiwa na mtoto wake.
Florah Mvungi akimlisha keki mtoto wake Tanzanite.
Jana tarehe mtu mzima H.Baba msanii kutoka
kule Mwanza alikuwa anasherehekea siku yake ya kuzaliwa na familia yake
nikimaanisha mke wake na mtoto wao mpya anaitwa Tanzanite pamoja na mama
mzazi wa HBaba na wadogo zake wa mwisho.
Hizi ni baadhi ya picha tu
wakiwa pamoja wakila keki kwa pamoja.
No comments:
Post a Comment