HII NDIYO PICHA ALIYOPOST JACKIE CLIFF LEO JAN 15 KWENYE MTANDAO WA INSTAGRAM
Baada ya exclusive interview na AyoTV ambapo Juma Jux alisema kwamba
Jackie Cliff yupo salama lakini sehemu alipo hata yeye haijui.
Jackie Cliff amepost picha hiyo hapo juu kwenye account yake ya
instagram ambapo account hiyo haiukua na new post tangu December 13
mwaka jana.
Caption ya picha hiyo haijasema chochote juu ya mambo yaliyosikika au mahali alipo.
No comments:
Post a Comment