Sunday, May 19, 2013

USHAIDHI WA PICHA NEY WA MITEGO NA DIAMOND PLATNUM WALIVYOKINUKISHA JANA "MZIKI GANI"


 Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platinum pamoja na Ney wa Mitego wakiwa kwenye picha ya npamoja kabla ya kupandaa jukwaani jana Usiku

 Ney wa Mitego akiwa amevaa viatu vya tofauti katika shoo ya Muziki Gani iliyofanyika jana hali hii ya kuvaa viatu tofauti ndiyo ilimtofautisha na kumuongezea mashabiki jana katika shoo hiyo ambapo kila mmoja alionekana kutaka kufahamu ni kwa nini amevaa viatu vya tofauti


 Ney wa Mitego akiimba pamoja na mashabiki wake

 Wacheza Shoo wa mwanamuziki Diamond Platinum wakitumbuiza katika shoo ya uzinduzi wa video ya Muziki Gani

Wasanii wa muziki wa kizazi kipya Ney wa Mitego (kushoto) pamoja na Diamond Platinum wakiimba nyimbo yao inayojulikana kwa jina la Muziki Gani jana usiku katika uwanja wa Dar Live jijini Dar es Salaam

No comments:

Post a Comment