LWAKATARE AFUTIWA MASHITAKA
ZILIZOTUFIKIA
HIVI PUNDE KUTOKA CHUMBA CHA MAHAKAMA@# Mahakama kuu jijini DSM
imemfutia mashitaka yote yaliyokuwa yana mkabili MKUU WA USALAMA WA
CHADEMA ndugu WILFRED LWAKATARE.
Imebakiza kosa moja tu la UTEKAJI.
Endelea Kutembelea Hapa tutakuletea Taarifa kamili
No comments:
Post a Comment