Sunday, May 26, 2013

HUYU NDIYE MTOTO MCHANGA WA SIKU 4 ALIYEKAA NDANI YA SHIMO SIKU 6 AKIWA HAI....!!

 Ndugu yangu ukishangaa ya Mussa basi shangaa na ya Firauni, Methali hii             imethibitika Songea baada ya Mtoto Bahati Upendo mwenye siku 3 toka azaliwe alipo wekwa na mama yake kwenye mfuko wa mbolea na kutumbukizwa kwenye shimo, Ndani ya shimo hilo amekaa siku 6 bila kula wala kunywa hadi alipo okotwa na wasamaria wema, Hivi sasa yuko Hospitali ya Mkoa wa Ruvuma akiwa Salama  Salimini Yeyote Mwenyenafasi ya kusaidia mtoto huyu anaweza kwenda moja kwa moja Hospitali au wasiliana na namba zifuatayo mchango  utafwatwa 0755061588 au 0755 731 234.
Dawati la Police Wanawake Mkoa wa Ruvuma wakiwa na Wauguzi kuangalia usalama wa Mtoto huyo aliyekuwa ametupwa. Kutoka kulia ni Muguzi Rukia Twahili anaye fuata Devota Umbela na aliye mshika mtoto Mwenyekiti wa Mtandao wa Police Wanawake Fadhila Chacha na wa mwisho kushoto ni A nna Chaima

No comments:

Post a Comment