Flaviana
Matata akiwa Baba ake mzazi katika Misa ya maombelezo Ajali ya MV
Bukoba ambapo Flaviana alimpoteza Mama yake mzazi, Igoma,Mwanza
Flaviana
Matata akiwa ofisini kwa projest Samson Kaija ambaye ni General
Manager wa Marine Services Company ltd ambao hushurkiana nae katika
maombolezo ya Ajali hii ambapo mwaka jana aliwapa msaada wa maboya ya
kujiokoa
Flaviana Matata akiwa na marafiki na baadhi ya waombolezaji waliopoteza ndugu zao katika ajali hiyo
Flaviana
Matata akiwasha mshumaa ikiwa ni ishara ya kuomboleza katika Makaburi
ya Igoma Mwanza walikozikwa baadhi wananchi walopoteza maisha yao miaka
17 iliyopita.
SOURCE: SHAMIM MWASHA-ZEZE-8020 FASHION BLOG
No comments:
Post a Comment