Friday, April 19, 2013

SERIKALI YA TANZANIA YASAINI MKATABA WA MABILIONI KUTOKA BENKI YA DUNIA




 Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yapokea shilingi bilioni 314 kutoka Benki ya Dunia kwa ajili ya kusaidia miradi ya Umeme, Gesi, Bajeti ya Serikali pamoja na kuwajengea uwezo wa kuendesha miradi ya gesi. Mkataba huo umesainiwa leo na Waziri wa Fedha Mhe. Dkt Wiliam Mgimwa Waziri wa fedha,  pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier  Mjini Washington DC.
1 
Waziri wa Fedha Mhe Dkt. Wiliam Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakitia saini mikataba hiyo. 2 
Waziri wa Fedha Mhe Dkt. Wiliam Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakitia saini mikataba hiyo. IMG_3777 
Waziri wa Fedha Mhe Dkt. Wiliam Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakijadiliana jambo kabla ya kusaini mikataba hiyo. IMG_3778 
Ujumbe wa Tanzania waliohudhuria utiaji saini mikataba hiyo mitatu. IMG_3784  
Kutoka kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Sheria Bi. Susan Mkapa pamoja na wanasheria wa Benki ya Dunia wakifuatilia kwa makini wakati Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Mgimwa pamoja naMwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakitia sahii mikataba hiyo.
 IMG_3792 
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa akipeana mkono na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier  kwa  tabasamu mara baada ya kumaliza kutia saini mikataba hiyo. Picha na Ingiahedi Mduma na Eva Valerian – Washington

No comments:

Post a Comment