Tuesday, April 16, 2013

KAULI KAMA HIZI NDIZO SPIKA AMESEMA ATAZIITIA POLISI


Ni lugha kama hizi zimesababisha nimekosa hamu kabisa ya kusikiliza vikao vya Bunge. Siwezi kuivumilia hii lugha. Ni sehemu ambayo nilipaswa kuwa nasikiliza hoja za sera zikiwasilishwa na sheria kutungwa, lakini imeshindikana.

Source: http://www.wavuti.

No comments:

Post a Comment