Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia kwa Kushirikiana na Taasisi ya Wadau wa Nishati Jadidifu Nchini Tanzania (TAREA) Wameandaa Warsha ambapo wadau mbalimbali wa Nishati watabadilishana Mawazo juu ya hali halisi ya Tecknolojia Jadidifu nchini Tanzania.
Katika Warsha hiyo, wadau watatoa maoni juu ya Mfumo na Mbinu za kukusanya na kuendeleza taarifa kuhusu maendeleo ya Nishati Jadidifu.
Aidha katika Warsha hiyo COSTECH na TAREA watabadilishana makubaliano ya Ushirikiano kati yao juu ya Mambo yote yanayohusu utafiti wa teknolojia ya Nishati Jadidifu.
No comments:
Post a Comment