Saturday, February 9, 2013

JK KATIKA MKUTANO WA SADC MSUMBIJI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mwenyeji wake Rais Armando Emilio Guebuza wa Msumbiji wakiwa katika mkutano wa wakuu wa ncho za Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika SADC jijini Maputo Msumbiji jana.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) na Mwenyeji Rais Armando Guebuza wa Msumbiji wakati wa kikao cha SADC jijini Maputo jana

No comments:

Post a Comment