Thursday, January 24, 2013

MAANDALIZI YA KILIMO CHA MPUNGA MKOANI MWANZA


IMG_0157 
Watoto  wa kijiji cha Luchili wilayani Sengerema wakiandaa shamba kwa jili ya kupanda
 mpunga Januari 22, 2013. Zao la Mpunga  hivi sasa linalimwa na wananchi wengi wa 
mikoa ya Mwanza na Shinyanga kwa ajili ya chakula na Biashara. (Picha na Ofisi ya 
Waziri Mkuu
IMG_0158 IMG_0165

No comments:

Post a Comment