Friday, January 18, 2013

LAZIMA UNILIPE BUKU MBILI YANGU LA SIVYO NAKUPASUA LEO

Kamera ya MAASINDA imewakuta vijana hawa wawili mmoja akifahamika kwa jina moja la Lazaro(aliyevaa Vest nyekundu) maeneo y Ubungo wakiwa wanapigana baada ya Lazaro kukwapua 2000 ya mwenzake alipotaka kununu nguo ya ndani(Boxer)  tukio hili limetokea jana  maeneo hayo ya Ubungo jijini Dar es Salaam. Hata hivyo Ugomvi huo uliodumu kwa zaidi ya saa mbili hakuna hata Askari aliyepita kwa ajili ya kuamua na kuwafikisha katika kituo cha sheria. watu waliokuwemo maeneo hayo wameshauri wawepo Askari wanaotembea tembea kwa ajili ya kusaidia vitu kama hivyo.

No comments:

Post a Comment