Katibu wa NEC
ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akiwa na
Balozi wa Vietnam hapa nchini, Nguyen Duy Thien, baada ya kumkaribisha
kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam.
Katibu wa NEC
ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk. Asha-Rose Migiro akiwa na
Balozi wa Vietnam hapa nchini, Nguyen Duy Thien, baada ya kumkaribisha
kwa ajili ya mazungumzo katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana
wa CCM, Martin Shigela
Katibu wa
Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Dk.
Asha-Rose Migiro (kushoto) akizungumza na Balozi wa Vietnam hapa nchini
Nguyen Duy Thien, katika Ofisini Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, mtaa wa
Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 23, 2013. Wapili kulia ni
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM, Martine Shigela ambaye alijumuka
katika mazungumzo hayo. Wengine ni Maofisa wa Makao Makuu ya CCM.
Kisha Balozi huyo akamkabidhi Dk. Asha-Rose Migiro ujumbe aliofika nao
Na kisha akamkabishi zawadi maalum kwa ajili ya kumbukumbu
Katibu wa NEC, akimshukuru Balozi huyo
Balozi huyo
Thien akimuaga Dk. Asha-Rose Migiro akiwa tayari kuondoka kurejea ofini
kwake baada ya mazungumzo yao. Katikati ni Katibu Mkuu wa CCM, Martine
Shigela (Picha zote na Bashir Nkoromo- Daily Nkoromo Blog)
No comments:
Post a Comment