Mkuu wa Jimbo
Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Mchungaji Anta Muro akizungumza katika
hafla ya kuangalia jengo jipya la Kitega Uchumi cha Kanisa la KKKT
Usharika wa Msasani.
Baadhi ya wadau waliohudhuria hafla hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akiteta jambo Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa.wakati wa ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi la Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka CRDB. Benki hiyo pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba.
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa.akizungumza wakati wa ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi la Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka CRDB. Benki hiyo pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba.
Mkurugenzi
Mtendaji wa benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akizungumza jijini Dar es
Salaam, mwishoni mwa wiki wakati wa ziara ya kukagua jengo la kitega
uchumi la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka benki hiyo.
Kushoto ni Askofu Mkuu wa kanisa hilo, Dk Alex Malalusa na Naibu Katibu
Mkuu Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Mchungaji Chadiel Sendoro. CRDB
pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akipokea ufunguo kutoka
kwa Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk
Alex Malalusa (wa pili kushoto) wakati wa ziara ya kukagua jengo la
kitega uchumi la kanisa hilo Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh.
bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka benki hiyo.
CRDB pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba.
Mkurugenzi
Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dk. Charles Kimei akipeana mkono na Askofu
Malasusa baada ya kumkabidhi ufunguo ya jengo hilo ambapo benki hiyo ni
sehemu ya wapangaji katika jengo hilo.
Meneja Uhusiano wa Benki ya CRDB, Godwin Semunyo akipeana mkono na Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa.wakati wa ziara ya kukagua jengo la kitega uchumi la Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka CRDB. Benki hiyo pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba.
Mkuu
wa Jimbo Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Mchungaji Anta Muro akiomba
baraka. kwa ajili ya jengo jipya la Kitega Uchumi cha Kanisa la KKKT
Usharika wa Msasani.
Askofu Malasusa akitoa baraka.
Wadau
Mandhari ya Ukumbi wa mikutano katika jengo la kitega uchumi la Msasani Multpurpose Development Centre (MMDC)
Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk Alex Malalusa akikagua jengo la kitega uchumi la Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Usaharika wa Msasani, lililogharimu sh. bilioni 9.909 ambazo sehemu ya fedha hizo ni mkopo kutoka benki ya CRDB. CRDB pia ni sehemu ya wapangaji katika jengo hilo lenye ghorofa saba.
No comments:
Post a Comment