Friday, December 21, 2012

LEMA ASHINDA KESI YAKE NA SASA NI MBUNGE TENA


Godbless Lema akishangilia mara baada ya kushinda Rufaa yake katika makama ya rufaa Tanzania jijini Dar es salaam  leo.
PICHA KWA HISANI YA MJENGWABLOG
……………………………………………
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arusha mjini ameshinda rufaa yake katika mahakama ya Rufaa jijini Dar es salaam na  kurejea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania kupitia jimbo la Arusha mjini.
Wafuasi wa chama cha CHADEMA wamepita katika mitaa ya Posta asubuhi hii  huku wakishangilia na kuonyesha vidole viwili juu huku wakiimba Lema Lema

No comments:

Post a Comment