Saturday, December 15, 2012

KAMA ULIKUWA HUJUI HUU NDIO UKUMBI WA FREEMASON ULIOPO JIJINI DAR ES SALAAM

Huu ndiyo ukumbi wa Freemason uliopo Dar es Salaam, ambao ndio wa kwanza kabisa kutumiwa na Bunge la Tanzania.
 
Kwa wale wasiojua mahali ukumbi huu ulipo ni Maeneo ya Mjini Posta jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment