Diwani
wa Kata ya Kipawa,Bonnah Kaluwa akizungumza na waandishi wa habari
(hawapo pichani) wakati wa kutangaza Uzinduzi wa Mradi wa Kuwaendeleza
Wanawake na Wasichana wa Kata ya Kipawa kuwa Wajasiliamali na wanaoelewa
biashara na Taaluma zao,unaofahamika kama WANAMA (Wamama na
Maendeleo).Kulia ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Kipawa,Said Fundi.
Meneja
Mauzo wa Kampuni ya Dalring Hair,Edward Shilla (kulia) ambao ni
wadhamini wa Mafunzo ya Mradi huo wa WANAMA akizungumzia namna
walivyoweza kujitokeza kudhamini Mradi huo utakaowawezesha Wanawake na
Wasichana wa Kata ya Kipawa kuwa Wajasiliamali na wanaoelewa biashara na
Taaluma zao.Kushoto ni Diwani wa Kata ya Kipawa,Bonnah Kaluwa ambaye
ndie Mratibu mkuu wa Mradi.
Afisa
Mtendaji wa Kata ya Kipawa,Said Fundi (kushoto) akitoa shukrani kwa
wadhamini wa Mradi wa Kuwaendeleza Wanawake na Wasichana wa Kata ya
Kipawa kuwa Wajasiliamali na wanaoelewa biashara na Taaluma
zao,unaofahamika kama WANAMA (Wamama na Maendeleo) ambao ni Kampuni ya
Dalring Hair.Katikati ni Diwani wa Kata ya Kipawa,Bonnah Kaluwa na kulia
ni Meneja Mauzo wa Kampuni ya Dalring Hair,Edward Shilla.
No comments:
Post a Comment