Wednesday, November 7, 2012

MWANAMKE AJIFUNGUA MAPACHA NA KUWAPA MAJINA YA BARACK OBAMA NA MITT ROMNEY

Mwanamke mwenye miaka 20 Millicent Owuor jana amejifungua watoto mapacha na kuwapa majina Barack Obama na Mitt Romney.
Watoto hao walizaliwa katika hospitali ya Siaya kusini magharibi mwa Kenya.
Owuor aliwaambia waandishi wa habari kuwa aliamua kuwapa majina hayo wanae ili kuikumbuka siku ya uchaguzi huo wa Marekani.