Kwa habari zilizotufikia hivi punde na zisizo Rasmi ni kwamba Kuna ripoti iliyotolewa na mashuhuda huko Temeke hospitali Dar es salaam leo kuwa kuna Mwanaume aliyekutwa anafanya mapenzi na mke wa Mtu na mwili wake umeng'ang'ania kwenye mwili wa Mwanamke huyo.
Mashuhuda hao wanasema kuwa Wawili hao wamefikishwa hosipitali ya wilaya ya Temeke leo hii.
MAASINDA inaifwatilia kwa makini habari hii na kisha itakuletea Full story kutokana na hii.