Kwa mujibu wa taarifa kutoka Dodoma, Sekretari ya Uongozi wa CCM Taifa ni kama ifuatavyo:
- Katibu Mkuu ni Abdulrahman Kinana.
- Naibu Katibu Mkuu Tanzania Bara ni Mwigulu Nchemba (Mb).
- Naibu Katibu Mkuu Zanzibar ni Vuai Alli Vuai.
- Katibu wa Itikadi na Uenezi ni Nape Nnauye.
- Uchumi na Fedha ni bi. Zakhia H. Meghji.
- Katibu wa Oganaizesheni ni Mohammed Seif Khatib.
- Uhusiano wa Kimataifa ni Dkt. Asha-Rose Migiro.
No comments:
Post a Comment