Kwa upande wake, Muuguzi wa Hospitali ya Ifisi, Sikitu
Mbilinyi alisema mbunge Mwanjelwa analalamika zaidi maumivu katika sehemu
ya mgongoni na miguu sawa na dereva wake ambaye naye analalamikia
miguu na amepasuka sehemu ya kichwani.
Kwa hisani ya mbeyayetu.