Sunday, October 14, 2012

RAIS KIKWETE ATEMBELEA MAKANISA YALIYOHARIBIWA NA VURUGU ZA WAISLAMU MBAGALA ATOA POLE KWA WAUMINI NA KUWAHAKIKISHIA KUWA SHERIA ITACHUKULIWA KWA WOTE WALIOHUSIKA


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia uharibifu mkubwa ulkiofanywa katika kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Mchungaji Alkwin Mbawi uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye magari yaliyokuwa yameegeshwa ndani ya kanisa la Pentekoste la Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akioneshwa na Katibu wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Dar es salaam Bw. M Mkosimonga  uharibifu mkubwa uliofanywa kwenye kanisa hilo huko  Mbagala jijini Dar es salaam wakati wa vurugu za Waislamu Ijumaa iliyopita kufuatia habari kuwa kuna mtoto amekojolea Msahafu