Kwa mbali anaonekana askari wa Usalama barabarani wakiwa katika majibizano na askari wa JWTZ baada ya kumpiga kwa kile kinachodaiwa kuwa traffic huyo amewachelewesha katika Msafara wao. Baada ya askari huyo kupigwa wanajeshi hao waliondoka na kuelekea barabara ya TAZARA. |